Najma anasema “Sioni kama kuna tatizo, ila naona tu haya mambo yanakuzwa na maneno ya watu, Mimi huwa sifanyi kazi kwa ‘kiki’, na kwa sasa chochote nitakachokisema ninaweza nisieleweke hivyo nimeamua ni bora nikae kimya tu”.
Pia Mr Blue alisema kuwa aliongea na Baraka akasemea kuwa hajui uzushi huo umetokea wapi, hivyo wakayamaliza bila ya kuwa na tatizo.
Tag :
lainnya