Kuna uwezekano mkubwa safari ya Alikiba kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park aliyoifanya kwa ajili ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka xxx ikaja na kitu kizuri kwa mashabiki.

Kwa mujibu wa meneja wa hitmaker huyo wa Aje, Seven Mosha kuna kila dalili Kiba akaachia documentary yake ya safari hiyo na vitu vingine kwa ajili ya kuwapa fursa mashabiki wake kujionea kila kilichotokea kwenye sherehe hiyo.
Kupitia mtandao wa Instagram, meneja huyo ameandika:

The King’s @officialalikiba Sayari Camp catch is documented yesteryear filmmaker Simone Pecorari as well as managed yesteryear @g.salome . The documentary volition live on aired on local as well as international media soon!! #Kings30YearsTurnUp
#SayariCampSerengeti
#ExploreLoveProtect
Tag :
lainnya