Msani Israel Aita Mushi ambae anajulikana kwa jina la kisani Bronzo Papito mwenye umri wa myaka 23 alianza sanaa ya muziki 2012 na hadi sasa ananyimbo nyingi ila ameshaachia mmoja tu ''Baki na Mimi'' na ivi punde aatachia video ya ngoma hiyo.
Kwenye mahojiano mafupi na Africanmishe Bronzo amesema :''Ndio nimeshaachia kwasasa ngoma moja tu ila ninazo nyingi kama tisa na tayari zimesha rekodiwa,ila nasubiria muda muafaka maana muziki kwa soko lilivyo lazima mtu achie nyimbo kwa kupangilia baada ya mudakadha.''
''Na kuhusu Video ndo tupo kwenye maandalizi maana sina administration kwa sasa japo na tafuta as well as then fiscal inakua tabu kidogo na budget ya video inabidi kujipanga ila nishaongea na Directors wawili na sasa wanaanda Script na kupanga budget ili tuweze ku shoot mwezi huu''.Aliongeza hilo Bronzo.
Msani huu kwa sasa amezijenga headlines nyingi kupitia kibao chake Baki na Mimi chenye miondoko ya AfroBeat ndani ya Recording Studio.
African Mishe inamtakia kila la kheri na mafanikio kwenye kazi zake.
kama nawewe ni msanii na ungependa nyimbo yako ionekane apa wasiliana nasi kwa no :+25779822844|Call or Whatsapp me|

Tag :
Afrika Mashariki,
News