Kwa mara ya kwanza timu nzima la African mishe imejaribu kukutana na kundi nzima ya The Light Of Peace Nuuru Salaam nchini Burundi, mjini Bujumbura mtahani Buyenzi.
Vijana hawo wameamua kuunda kundi hilo kwa lengo ya kufikisha ujumbe waamini wa dini tofauti kupitia mtindo wakuimba kaswida.
Muandishi wa tovuti ya African Mishe ameojiana na vijana hawo wa kundi nzima ya The Light Of Peace Nuuru Salaam.
Ebu shuhudia kipindi hiki cha Exclusive Interview Mishe Mishe hapa :
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii unaweza wasiliana nasi kwenye namba + 257 75 707305