Katika kuleta chachu ya sanaa hapa nchini kituo cha Televisheni cha East Africa(EATV) kimeanzisha tuzo za wasanii ambazo zitafanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mwezi Disemba mwaka huu.![Katika]()
Mkuu wa Masoko wa EATV,Roy Mbowe(kushoto)na Afisa habari wa BASATA,Aristides Kwizela(kulia)wakimsikiliza Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella,alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na udhamini wa Vodacom Tanzania katika tuzo za wasanii za EATV, Wakati wa uzinduzi wa tuzo hizo zitakazowahusisha wasanii wote wa Afrika Mashariki na kufanyika Disemba 10 2016

Tag :
lainnya