Diamond anasema “Tulikuwa tunazungumza kuhusu projection ambayo tunatakiwa tuifanye, tuifanye Tanzania au tuifanye wapi, tulikuwa tunaangalia kwa hit goodness zote pia,mimi nilichosuggest nilimuambia ni vizuri tukifanya lakini tuwe na producer wa Afrika kumix vitu vya Kiafrika na tunaweza tukaifanyia huku tukatoka nayo tukaenda kuifanyia Tanzania pia sababu itaongeza acquit upon kwa Afrika na kuonesha wamarekani kweli wanania ya kusaidia muziki wa Afrika” .
Source PerfectoTv
Tag :
lainnya