Katika moja ya mahojiano yake Fid Q amesema kuwa huenda mwaka huu mwaka huu akahadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kuachia ngaoma mbili tofauti na kawaida yake ya kuachia ngoma moja kwa mwaka kwa kuwa ana mzigo mkubwa wa nyimbo zilizopo kwenye maktaba yake.
“Watu wangu watarajie kitu cha tofauti na tayari wanaijua tarehe,Agosti 13,tena stock inavyoonyesha huenda tukafanya double release, lakini tutatoa tu kwa sababu stock ni nyingi sio kwa sababu ya Presha ya soko,kwa sababu nimekuwa nikitoa ngoma moja kwa mwaka,nimegundua siku hizi watu wanaelewa haraka,kwa hiyo ninaweza kuwafanyia mbili kwa mpigo,huwezi jua“ alifunguka Fid.
Tag :
lainnya