Download Mp3 from African

Professor Jay aeleza anavyoziheshimu harakati za Joh Makini,Hiki ndicho alichosema..

Msanii mkongwe wa hip hop nchini,Professor Jay amesema kuwa anaheshimu sana harakati ambazo msanii Joh Makini anazifanya kuupeleka muziki wa hip hop ya bongo kimataifa.
Akiongea ,Jay amempongeza Joh Makini kwa kuchaguliwa kuingia kwenye tuzo za Afrimma na kuomba watanzania wamsapoti.
Nina abide by sana fighting za joh Makini,jinsi anavyotafuta tundu la kupenya kimataifa.Na pale haendi peke yake ni Tanzania inaenda pale.Napoona anafanya kolabo na A.K.A ,Chidnma, mimi nafurahi,na yeye kuwa nominated kwenye tuzo za Afrimma ina maana muziki wake umeshaanza kupata soko kimataifa inabidi tuungane kumsapoti.“alifunguka mkongwe huyo wa Hip Hop anayetamba na wimbo wake wa kazi kazi ambao upo kwenye mahadhi ya singeli.
Tag : lainnya
Back To Top