Download Mp3 from African

Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk...Tazama Goli lake la Ushindi Alilofunga Jana

Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya
jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi
ya Oostende.,

Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya lxxx na katika dakika 91 akapachika bao



Tazama Video Hapa jinsi alivyopachika bao safi:
Tag : lainnya
Back To Top