Muimbaji wa nyimbo za njili kutoka Burundi, Kezzo Ildephonse ameachia nyimbo yake mpya itwayo Nakuja kwako chini ya producer Prince. Kezzo ni muimbaji wa nyimbo za njili na kwasasa anazidi kufanya vizuri kwenye ulimwengu wa nyimbo za njili kwa mtindo wake wa kisasa.
Ebu uisikilize nyimbo nzuri itakayo kufanya wewe mwamini wa dini ya kikristo itakufanya kukuongoza na kukubadili kiasi kikubwa katika maishani mwako kwa mashahiri ya nyimbo hii hapa :
Ebu uisikilize nyimbo nzuri itakayo kufanya wewe mwamini wa dini ya kikristo itakufanya kukuongoza na kukubadili kiasi kikubwa katika maishani mwako kwa mashahiri ya nyimbo hii hapa :
Tag :
Afrika Mashariki,
BURUNDI