Download Mp3 from African

New Audio | Coming Soon/ Ulikuwa Wapi ya kwake G Lee

Mwanamuziki mrundi mwenye makazi yake Afrika Kusini, Mugenzi Lievin almaarufu kama M. Lee anatarajia kuachia nyimbo yake mpya ambayo ameipa jina Ulikuwa Wapi nchini Afrika Kusini.
Baada ya kutamba na nyimbo na video clip yake Unioneshe, kwasasa anatarajia kuja na ujio mpya tena zaidi.

Akiongea na Mishe Mishe Media grand Lee amefunguka na kile ambacho ametangazwa kushiriki kwenye tamasha mbali mbali kubwa nchini Afrika Kusini, amesema unapo piga hatua kubwa katika kazi yako ndipo unapo pata mishe mishe za hapa na kule ndio maana nimeshiriki kwenye demo nyingi sana tena kubwa na wasanii wa kubwa wa afrika. ninaimani kazi yangu hii mpya itakuja kunitangaza na kupiga hatua kubwa katika ulimwengu wa muziki. 
Mashabiki wa mwanamuziki huyo wanasubiria kwa hamu kubwa kupata kazi mpya ya grand Lee na kushuhudia ujio wake huwo mpya.
Back To Top