Mwana Hip Hop kutoka Burundi, Taylo Sixer ameachia nyimbo yake mpya itwayo True Sixer, baada ya kutamba na kibao chake No Stress kilicho mpatia mashabiki wengi nchini Burundi, kwasasa anakuja na nyimbo nyingine itakayo mtambulisha kimataifa zaidi.
Tumejaribu kuwasogezeeni hapa True Sixer ya kwake Taylo Sixer