Mwanamuziki kutoka Burundi, BienvFizzo Mutakuriano ameachia video clip ya nyimbo yake mpya Nitakupa, huu ni ujio wake mpya wa mwanamuziki BienvFizzo ambaye anaendelea kuwa na msimamo yake katika R&B ya Republic of Burundi Fleva. Kwasababu muziki umebadilika ndio sababu ya BienvFizzo kuja na ujio huu.
TIZAMA UJIO HUU WA VIDEO MPYA NITAKUPA YA KWAKE BIENVFIZZO