Mwanamuziki mrund, Ismail Niyonzima almaarufu kama Assou Nigger baada ya kutamba na kibao chake Seruka iliyo mtangaza Afrika Mashariki, kwasasa anakuja na nyimbo nyingine mpya itwayo Ibijambo katika studio African Music chini ya mikono ya Producer pia mwanamuziki Akes Don.
Msani Assou Nigger anatarajia kufanya mambo mazuri sana katika muziki wa Republic of Burundi Flava
Ebu isikilize Ibijambo ya kwake Assou Nigger hapa :
Ukumbuke kuwa kama unaitaji kazi zako zipitishwe hapa wasiliana nasi +257 75707305/whatsapp