Mwanamuziki kutoka Burundi, mwenyeji wa Bujumbura tarafani Buyenzi mwenye makazi yake Afrika Kusini, Blue Ston ameachia video yake mpya itwayo Facebook akishirikiana na Happy Famba (Mkali wa Show) pamoja na Mwana mama Chany Queen. Video nzuri yenye ladha nzuri na imetengenezwa na mfumo wa kisasa unao vutiwa na wengi.
Tumejaribu kuwasogezeeni video hii nzuri Facebook ya kwake Blue Ston akiwa pamoja na Happy Famba na Chany Queen.