Mwanamuziki Mrundi, Assou Nigger ameachia video ya nyimbo yake Seruka ivi karibuni . Assou Nigger anazidi kutamba na kibao chake Seruka kwenye vituo vy radio nchini Republic of Burundi na Rwanda.
Tuwakumbushe kuwa Assou Nigger baada ya kibao Seruka ameachia nyimbo mpya itwayo Ibijambo hii hapa Assou Negger- Ibijambo.
Video mpya Seruka ya kwake Assou Nigger hii hapa :