Msanii wa muziki, Kebby Boy amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “My Dodo” umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na video.
Akizungumza na Mishe Mishe Media, Kebby Boy amesema hana muda wa kusubiria kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma. “Kinachofuata ni kazi kama nilivyo wa-promise before, hakuna gape, kwaiyo before long nitaachia video ya ngoma yangu mpya'' Sina Lawama''.
Audio ya ngoma hiyo imetengenezwa na Lizer Classic wa WASAFI RECORD na Video imeongozwa na Msafiri Shaban wa KWETU STUDIO.
Tazama hapa video coming soon:

Audio ya ngoma hiyo imetengenezwa na Lizer Classic wa WASAFI RECORD na Video imeongozwa na Msafiri Shaban wa KWETU STUDIO.
Tazama hapa video coming soon: