Download Mp3 from African

DJ PRO ATANGAZA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA MWEZI HUU.

Msani wa muziki DJ PRO ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ambao hajapenda kuutaja jina kwani ni kama surprise kwa shabiki zake.

Dj Pro amesema wimbo huyo ulio tengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na Producer PICHEN wa BUJA RECORD ,studio ambayo Liser Classic wa Wasafi Record alio wahi kuifanyia kazi pindi yupo nchini Republic of Burundi ,utakuwa moja ya kazi bora za mwaka 2017 na akawataka mashabiki wake kuipokea kwa mikono miwili.

utakuwa moja ya kazi bora za mwaka 2017 na akawataka mashabiki wake kuipokea kwa mikono miwili.

Soma zaidi hapa >>:
Copyright © saluti5
Mshiriki huyo wa tuzo za AEAU - USA AWARDS 2016 aliongeza kwamba anaamini mashabiki zake mpaka sasa watakuwa na kiu ya kusikiliza kazi mpya kutoka kwake hivyo hata waangusha kwani kwa sasa yeye atakuwa akitoa kazi juu ya kazi ili aende sawa na mashabiki zake.



NA KAMA ULIKUA BADO HUJAIONA VIDEO YA NGOMA YAKE ''MAISHA NA MUZIKI''...bonyeza kitufe cha play hapo chini...


Back To Top