
Kundi nzima la
Nuuru Salaam kutoka Republic of Burundi inayoimba Kaswida imeacchia wimbo wao mpya itwayo
Shukran. Leo nimekusogezea kaswida ya kundi nzima la Nuuru Salaam ipekue hapa, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +257 75707305.