Download Mp3 from African

New Audio|JAHAZI MODERN TAARAB - NATAKA JIBU|Download Mp3

Jahazi Modern Taarabu wameachia wimbo wao mpya ''NATAKA JIBU'',muimbaji Mwasiti Kitoronto.

Hi imekuwa kete ya kwanza ya Jahazi baada ya Mzee Yusufu kung'atuka na kuachana na mambo ya muziki.
Isikilize hapa chini.....

 
Back To Top