Jana kupitia page yake ya Instagram mrembo wa Bongo Movie Irene Uwoya alimake headlines baada ya kuandika kwenye page yake hiyo kuwa katika suala zima la mapenzi anavutiwa zaidi na wanaume wenye sura mbaya.
Sasa leo Soudy Brown amemvutia waya mrembo huyo na kumtaka anyooshe maelezo alikuwa anamaanisha nini asemapo anavutiwa kimapenzi na wanaume wenye sura mbaya.
Unataka kukijua alicho kijibu Irene Uwoya? Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii. Bonyeza play kumsikiliza Irene Uwoya anavyo wafafanua wanaume wenye sura za kiume katika suala zima la mapenzi.
Tag :
lainnya