Msanii Man Deblo wa Republic of Burundi Fleva ameachia wimbo wake mpya akishirikiana na All Saint pamoja na Gaga Blue, wimbo umepewa jina la Mbabarira chini ya mikono ya producer Zacky.
Leo nimekusogezea kazi mpya ya kwake Man Deblo, kama na wewe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasilana nasi kwenye namba No +25775707305.