Mwanamuziki G Bo kutoka Republic of Burundi ameachia runway yake mpya itwayo Sioni chini ya mikono ya producer Pichen Pro. Baada ya kufanya vizuri na kupata ajira za hapa na pale kupitia nyimbo zake nyingi, G Bo ameamua kutoka tena na mtindo unayo pendwa na watu wengi.
Ebu isikilize hapa kwa mara yako ya kwanza kazi nzuri kutoka kwa G Bo
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, wasiliana nasi kupitia namba +257 75707305