Download Mp3 from African

Mtangazaji Edo Kumwembe Aula Supersport..Apata Deal la Uchambuzi wa Soka.

Mchambuzi Mahiri wa Michezo Edo Kumwembe apata bargain nono ya kuwa mchambuzi wa Kiswahili wa Supersport chini ya DSTV, Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook mara baada ya kusaini mkataba:

"DEAL DONE. Am happy kuwatangazia kuwa nimesaini bargain na Supersport kwa ajili ya kuwa Mchambuzi wao katika matangazo ya Ligi Kuu England kwa kiswahili. Nitakuwa naenda Johannesburg kila Ijumaa na kurudi Dar es salaam Jumatatu...Thanks everyone"
Tag : lainnya
Back To Top