Grace & Chris ni watoto wamsani Kutoka Republic of Burundi Kidum Kibido ambae kwasasa anaishi nchini Republic of Kenya mjini Nairobi.Watoto hawa wameipiga Cover ya wimbo wa Beyonce kutoka USA uitwao''Hello''.
Wimbo huu wameuimba kama kumpongeza mtangazaji wa kituo cha Televisheni ya taifa nchini Republic of Burundi Dada Dj Fanny muandalizi wakipindi ''Zinazo pendwa ''
Itazame hapa :Hello(cover Beyonce) yesteryear Grace & Chris(KIDUM)
Tag :
lainnya